Natoa kiwanjaNingetaka kufanya duka huko Tanga lakini nina mtaji mdogo ndo maana ninatafuta partner mwenzangu mfanyabiashara kufanya mradi huo nami. Lazima awe mwaminifu.
Ungetataka lakini hujataka embu andikeni vizuri msikimbilie kupostNingetaka kufanya duka huko Tanga lakini nina mtaji mdogo ndo maana ninatafuta partner mwenzangu mfanyabiashara kufanya mradi huo nami. Lazima awe mwaminifu.
Uchumi wa wana Tanga ukoje? Make Super Market sana ni kwa ajili ya Middle class na sio lower class.
so lazia ufanye analysis kujua Consumption triends ya wana Tanga mjini ikoje.
Usikimbie tu kuanzisha Supermarket