Kufanya Tendo La Ndoa wakati Uko Period kunaweza Sababisha Ujauzito?

Wakuu Habari Kuna Swali Natak Kuuliza Mwanaume kufanya Mapenzi na Mwanamke Aliyeko Period kbs kunaweza kusababisha mwanamke kushika Ujauzito???

cc12
Kuna mtaalamu mmoja aliwahi kueleza hapa kwamba mwanamke anaweza kushika mimba cku ya kwanza ya period,alisema hiyo inatokana na kutofautiana kwa urefu wa mzunguko wa siku zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…