Wanajamii naomba kujua kama kuna uwezekano wa kufanya transfer of ownership ya land ambayo ipo mikoani ,transfer hiyo ikafanyika hapa dar bila kwenda huko mkoani.nina documents zote muhim za ownership.
Lazima uende mpendwa, kama kila kitu kimekamilika waweza kumtuma mtu akamalizia cha msingi uhakikishe land form No. 29 Na 30 na supporting documents ziko poa