Asante kwa elimu, je kwa Dar nitapata wapi Garage/fundi mzoefu wa kufanya Swap kwani niliplan kununua used engine Ilala na kushughulikiwaEngine swap inaweza kufanyika japo jnatkaiwa ujipange haswaa katika kuswap engine gegemea patformance ya gari kupungua au kuwa mormal inategemea na fundi utakayekuwa umempata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvua na kuvalisha engine tofauti na ile iliyokuja na gari.Ku-swap ni kufanya nini?
Nenda mitaa ya gerezani au magomeni ndio mabingwa wa hizo mamboAsante kwa elimu, je kwa Dar nitapata wapi Garage/fundi mzoefu wa kufanya Swap kwani niliplan kununua used engine Ilala na kushughulikiwa