DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Habarini wapendwa.
Kuna hili suala la ufaulu limekuwa ni gumzo, kila mtu ana judge kadri aonavyo, eidha kwa mazoea au kimantiki.
Binafsi hili suala la ufaulu nimeliweka katika mafungu mawili.
1. Absolute
2. Relative.
Nasema absolute kwa maana ya marks na uelewa wa kitu husika ni relative.
Hivi vitu vyote viwili vinakwenda sambamba na ili kujaji relative tunatumia absolute.
Sasa wapendwa, hivi tunawezaje kusema mtu amefaulu mtihani, je ni kwa marks/alama zipi hasa?
Kwa hapa Tanzania, mtu alie pata 30% kwenda juu tunasema amefaulu, je ni sahihi kusema mtu huyu amefaulu wakati anaonesha 70% hajui?
Chuo changu cha SUA, st Augustin, st. John na vinginevyo wanatumia alama 50% kama alama ya ufaulu.
Je tuseme mtu aliepata 50% amefaulu? Na tunawezaje kusema amefaulu wakati 50% ya mambo hayajui?
Karibuni wanajukwaa, mtoe mawazo yenu kuhusu hili.