Pole sana mkuu usikate tamaa siku yako itafika tunilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine zinazo simamiwa na tasisi zenyew mfano TRA lakin zote hizo hakuna hata moja niliyofanikiwa kwenda oral interview
kwa mnaofaulu tupeni siri nin cha kufanya
Pambana ukishindwa kabisa njoo umsaidie shemeji yako kuuza mabalo ya mitumba kkoo ya jumla jumla.Wakuu habarin za muda huu
Moja kwa moja niende kwenye mada nimehitim mwaka juz shahada ya finance baada ya kumaliza nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine zinazo simamiwa na tasisi zenyew mfano TRA lakin zote hizo hakuna hata moja niliyofanikiwa kwenda oral interview
kwa mnaofaulu tupeni siri nin cha kufanya
Juz tena naona nimekuwa shortlisted sail zaid ya 3 hofu yangu kubwa ni kuhisi pia hizo saili sitofanikiwa kupita japo huwa napata marks ambazo napelea kidogo na cuttoff points
Kiifupi nahisi kukata tamaa je kuna mtu ambaye amefanya written nying bila mafanikio na alipata kazi
kwa wale wanaofaulu tupeni siri wakuu kwa sababu hapa nipo nimekata tamaa hata ya kufanya hizo interview
nakaribisha maoni , ushuhuda na ushauri wadau
Kwanini ukafanye kazi ya econom..wakuu sad ni kwamba jana nimefanya tena interview ya kada ya planning officer lakini kilichotokea ni huzuni not selected for oral interview
sababu ni kwamba mtihani ulikuja 100% economics na sisi wengine hatuna knowledge kubwa ya economics
namana kwamba niliomba post ya planning officer lakni mtihan ulivyokuja wametoa maswali ya calculation za economics wengine hatuna basics nzuri za economics lakn hiyo kazi waliomba pia watu wa kozi ya economicsKwanini ukafanye kazi ya econom..