kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka2011.serikali ina kimbia majukumu yake

kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka2011.serikali ina kimbia majukumu yake

joseph1983

Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
13
Reaction score
1
kwa kuchukulia hatua ghidi ya walimu ambao hawahudhuriii madarasani,hebu angalia ni nani asiye jua maisha ya mwalimu yakoje kiuchumi,nani asiyejua hao viongozi wetu wanabiashara gani pia wanamiliki nini, kwa sasa hakuna mfanyakazi kamili kwenye dunia hii,nyinyi wenzangu angalieni wakati wa chartism$luddism maana yake maghumuni yake yalikuwa ni nini.
se
 
Back
Top Bottom