Kabla sijaingia shule ya sheria nilikuwa nashangaa kuona wingu la wanafunzi wakifeli, lakini sasa baada ya kuingia nimeona kwa nini watu wanafeli. Sababu kubwa ni mrundikano wa masomo na ratiba.
We fikiria watu wanaingia darasani mpaka sasa kufundishwa na jumatatu ya terehe 19/5 wanaanza Individual Continue Assessment (ICA). Na ikiwa wiki hii wanafundishwa probate and adminstration of estate law na tena wamenyimwa siku za kujiandaa.
Hii sio haki, wapeni muda wajiandae.