Kuficha unaempenda

kachumbari

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
126
Reaction score
9
Sielewi kipi ni kibaya zaidi? kuficha kwamba una mtu unaempenda au kuwa na wasiwasi kuwaeleza watu kuwa unampenda na kuogopa ipo siku utaaachwa?
 
Vyote vina ubaya sawa.
Unamficha ina maana hujaridhika nae au?
Kwanza mapenzi hayafichiki.
 
Sielewi kipi ni kibaya zaidi? kuficha kwamba una mtu unaempenda au kuwa na wasiwasi kuwaeleza watu kuwa unampenda na kuogopa ipo siku utaaachwa?

sema usiogope
ulizaliwa wewe peke yako uchi
utakufa peke yako
kuachwa na kuacha sio kusudio ni matokeo ya hitilafu ktk safari ya mapenzi

Kuficha ni mbaya,na pia kuachwa hayo ni matokeo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…