M MZALAMO JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 1,799 Reaction score 2,045 Feb 28, 2020 #1 Kufikia 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 duniani zenye watu wengi zaidi. Viongozi wetu wanatakiwa wawe wanaweka malengo ya maendeleo ya miaka 100 mbele. Pongezi kwa JPM kwa kuliona hilo na kuanzisha ujenzi wa SGR na bwawa la umeme la Rufiji.
Kufikia 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 duniani zenye watu wengi zaidi. Viongozi wetu wanatakiwa wawe wanaweka malengo ya maendeleo ya miaka 100 mbele. Pongezi kwa JPM kwa kuliona hilo na kuanzisha ujenzi wa SGR na bwawa la umeme la Rufiji.
Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,788 Reaction score 11,186 Feb 28, 2020 #2 R.i.p Me in advance. I will not be around by that time
L Laki Si Pesa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2018 Posts 5,673 Reaction score 9,710 Feb 28, 2020 #3 umesahau corona virus ni mpango wa wazungu kupunguza watu? inawezekana tanzania haitakuwepo kabisa,
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,546 Reaction score 10,793 Feb 28, 2020 #4 R.i.p Percy in advance