FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama mwafrika au kinyume chake.
Sasa hivi ukienda Marekani si ajabu kukuta watoto mixer na imekuwa ndoto ya kila kijana wa Kiafrika kuzaa na Mzungu.
Hivyo watabaki Wachina, Wahindi na Waarabu.
Labda suluhu iwe mtoto mmoja azae na mzungu/Mwafrika mwenzake na wengine wazae na rangi tofauti yaani mzungu na mwafrika.kazi Ipo kwenye kuruhusu mkeo au mumeo kuzaa na mtu wa kwao kulinda rangi(race yake).
Masia akirudi hatawakuta ndugu zake.