FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Nikilala nikiamka...!Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama mwafrika au kinyume chake.
Sasa hivi ukienda Marekani si ajabu kukuta watoto mixer na imekuwa ndoto ya kila kijana wa Kiafrika kuzaa na Mzungu.
Hivyo watabaki Wachina,Wahindi na Waarabu.
Masia akirudi hatawakuta ndugu zake.
Naunafikiri ni kwanini Mzungu na Mwafrika wakizaa mtoto akiwa uko Ulaya na Marekani basi wazungu uanza kuwabagua kwamba siyo wazungu,Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama mwafrika au kinyume chake.
Sasa hivi ukienda Marekani si ajabu kukuta watoto mixer na imekuwa ndoto ya kila kijana wa Kiafrika kuzaa na Mzungu.
Hivyo watabaki Wachina,Wahindi na Waarabu.
Masia akirudi hatawakuta ndugu zake.
White people (caucasian) hata definition yake nadhani huijui mkuu!Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama mwafrika au kinyume chake.
Sasa hivi ukienda Marekani si ajabu kukuta watoto mixer na imekuwa ndoto ya kila kijana wa Kiafrika kuzaa na Mzungu.
Hivyo watabaki Wachina,Wahindi na Waarabu.
Masia akirudi hatawakuta ndugu zake.