Tanzania ,Kama nchi yenye historia ya utajili na uridhi wa utamaduni inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi Katika miaka 25 ijayo.
Ili kuijenga Tanzania tuitakayo serikali Kwa kushirikiana na wananchi tunahitaji kuweka mbele viumbele vinavyoweza kutekelezaka Katika nyanja muhimu Kama ifuatavyo:-
1. Elimu.
Kuboresha elimu mifumo ya elimu Kwa kuongeza shule na vyuo Vya ufundi,vyuo vya Kati na vyuo Vikuu na Kuboreaha ubora wa elimu inayotolewa kwa kufanya marekebisho ya mitaala ili ijikite Katika vitendo na ubunifu zaidi.
Kuweka mkazo Katika elimu ya ufundi na teknolojia ili kuandaa vijana kwa soko la ajila lijalo la viwanda.
Kuhakikisha kuna walimu wenye ujuzi wa kutosha na wenye vifaa vya kisasa vya kujifunzia pia mazingira mazuri ya kujifunzia
2. Teknolojia na Ubunifu.
Kuwekeza katika teknolijia na ubunifu Kwa kutoa mafunzo na kuwawezesha vijana kushiriki Kwa vitendo katika ubinifu wa teknolojia.
Kuanzisha vituo vya ubunifu na teknolojia vyenye vifaa vya kisasa ili kuwavutia vijana wabunifu ili kubuni suluhisho Za changamoto mbalimbali
3. Afya na Ustawi wa Jamii.
Ili Kupata jamii yenye afya njema ambayo ndio inashiriki moja Kwa moja shughuli Za ujenzi wa taifa
basi serikali inapaswa kuwekeza zaidi Katika Afya Kwa Kuboresha na kujenga vituo vipya vya afya na hospital na Kuhakikikisha vifaa tiba vya kisasa na madawa yote muhimu yanapatikana na kuongeza watumishi wa afya wakutosha.
Kutoa Elimu ya afya Kwa jamii ili kuzuia magonjwa ya mlipuko na yasio ya mlipuko, yasio ambukizwa na yanao ambikuzwa ili kuhakikisha jamii inafahamu umuhimu wa kuishi na afya njema.
4. Uchumi na Viwanda
Ili uchumi wa Tanzania ukue Kwa haraka basi serikali inapaswa kukuza wiwanda vya Ndani Kwa kutoa motisha Kwa wawekezaji wa ndani na nje na Kuboresha mazingira ya biashara ndogo ndogo na Za kati kukua
5. Kilimo na usalama wa chakula.
Kuwekeza kwenye teknolojia na kilimo na kutoa elimu Kwa wakulima ili kusudi kuongeza uzalishaji na kupunguza upotevu wa mazao.
Kuwezesha upatikanaji wa zana, vifaa na pembejeo za kilimo na kuwatafutia masoko ya uhakika ya mazao ndani na nje.
Kuhamashisha Kilimo cha kisasa na umwagiliaji Kwa Kujenga mabwawa ya umwagiliaji
6. Miondominu
Uboreshaji na ujenzi wa barabara,reli na wiwanja vya ndege kurahishisha usafirishaji wa watu na bidhaa.
Kuwekeza katika ujenzi majengo ya makazi ili kukizi ongozeko la idadi ya watu.
7. Nishati na Mazingira
Umeme ya uhakika ili kuendana na kasi ya uchumi wa wiwanda na teknolojia hivyo kuendeleza
Vyanzo vya nishati mbadala na kulinda mazingira Kwa kuthibiti uchafuzi wa mazigira
8. Utalii na Maliasili
Kuhamashashi kulinda na kuhifadhi Maliasili Za nchi na kuendeleza Kwa uwekezaji wa kisasa kwenye sekta ya utalii kama chanzo kikuu cha pesa Za kigeni na mapato ya nchi.
9. Utawala bora na Uwazi
Kukuza utawala bora,uwazi Na uwajibikaji katika selikari na taasisi zake zote.
Kuimalisha mambano makali zidi ya rushwa na ufisadi Kwa kuhakikisha sheria kali zinatungwa za kukomesha rushwa na ufisadi na sheria hazivunjwa.
10. Sera na kamati madhubuti za kufuatilia mikakati iliyowekwa inakamilika na inatekelezwa na kufanya tathmini Kwa kila hatua inayofanyika.
Mwisho.
Kwa kufuata mikakati hii, Tanzania inaweza kufikia kwenye Uchumi imara na endelevu,Jamii yeye Afya tele na Elimu bora na mazingira bora.

Upvote
2