Hivi huoni kuwa siku hizi mtu ni mweupe anasema nataka niwe na mwenza mweusi ili tumech! yaani ndoa siku hizi zinatanguliwa na fasheni. Tena watu wanaingia kwenye ndoa by default. Mtu anajua kuwa akifikisha umri fukani lazima aingie kwenye ndoa, haangalii kama anataka au hataki...