Kufuatia Jay Z kuchepuka, mashabiki wajipanga kumuombea msamaha kwa Beyonce

Si ndio huyu alisema i got 99 problems but a ........ aint one ?

Na pia ana wengi tu hawa kina Beyonce kwenye ile nyimbo yake ya Girls ,Girls
 
Stunts alizotumia Bey kuuzia Album yake ya LEMONADE.

Inasemekana sasa hivi Jigger yupo studio anapika album yake kuijibu LEMONADE.
 
Samhani mkuu kama nita kuudhi,lakn kwa sasa sisi watanzania tuelekeze jitihada zetu katika kujadili tatizo la SUKARI NA WATUMISHI HEWA NA SIO NDOA YA JAY Z NA BEYONCE.....muda tuliopewa ni mdogo xana
Mkuu kwambaje! Muda mdogo kabla ya kuja kingine cha kujadili? Teh teh! Nauliza tu lkn
 
Samhani mkuu kama nita kuudhi,lakn kwa sasa sisi watanzania tuelekeze jitihada zetu katika kujadili tatizo la SUKARI NA WATUMISHI HEWA NA SIO NDOA YA JAY Z NA BEYONCE.....muda tuliopewa ni mdogo xana

Hapo kwenye "xana" ndo umeharibu point zote ulizoandika
 
Kwahiyo badala ya kuzungumza ndani yeye ametunga wimbo? cheap kiki
 
Samhani mkuu kama nita kuudhi,lakn kwa sasa sisi watanzania tuelekeze jitihada zetu katika kujadili tatizo la SUKARI NA WATUMISHI HEWA NA SIO NDOA YA JAY Z NA BEYONCE.....muda tuliopewa ni mdogo xana
Hahhahahahahhhhhhaa
Ila kweli jaman tudeal na priorities hahah
 
Samahani Ikhlasi, nakusihi uache uongo na pretending. Watu walioelekeza jitihada kwenye sukari hawaingii CELEBRITY FORUM.

Nenda jukwaa la biashara au siasa.... Otherwise wacha UNAFIKI
Ooooouch! Daay'um. That hurts dude, alikosea njia jamani😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…