Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Unapatamani segerea sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazunguka tu..... Hao mawaziri hawana huo uwezo wakufunga mipaka ila Mr. Chato. Kamshitaki kama unaweza

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Unazunguka tu..... Hao mawaziri hawana huo uwezo wakufunga mipaka ila Mr. Chato. Kamshitaki kama unaweza

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Mimi nashitaki wizara tu!
Naamini wao wana majibu.
 
Donald Trump aliongea sana kwa mbwembwe akiiponda China, siku za mwanzo kabla ugonjwa haujaanza kuua US kwa maelfu.

Hali ilipozidi kuwa mbaya anapokea misaada ya kitabibu kimya kimya. Hakuna awezaye kuishi kama kisiwa.

Usipoteze nguvu zako kwenda mahakamani wakati hili ni janga kubwa (pandemic).
 

Ummy Mwalimu ndio ana mamlaka ya viwanja vya ndege?. Kabla hujaandika fanya japo utafiti mdogo tu wa unachokusudia kuandika.
 
Tukifunga viwanja vya ndege na bandari tutazuia kuenea kwa kasi.
 
Ummy Mwalimu ndio ana mamlaka ya viwanja vya ndege?. Kabla hujaandika fanya japo utafiti mdogo tu wa unachokusudia kuandika.
acha uzombi wa lumumba na kuizoea tabia ya babayenu MEKO ya kukurupuka.. umeshaambiwa wahusika watatu AFYA , MIUNDOMBINU na SHERIA wanahusika. sasa ulitaka niseme nani? MUMEO au bwanawako? shwainnnn
 
acha uzombi wa lumumba na kuizoea tabia ya babayenu MEKO ya kukurupuka.. umeshaambiwa wahusika watatu AFYA , MIUNDOMBINU na SHERIA wanahusika. sasa ulitaka niseme nani? MUMEO au bwanawako? shwainnnn
mkuu msamehe tu! Si unajua posho zile 7000/- zimechelewa
 
Kumshtaki waziri utakuwa unamwonea. Rais Magufuli ndiye asiyetaka mipaka ifungwe kwa sababu za kiuchumi.

Hata mimi nililalamika sana kwa vitendo vya waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Nikajikuta kuwa namwonea. Nyuma yao yuko JPM. Kwa hiyo kuwashtaki wao ni sawa na kumshtaki Rais, na kwa hali hiyo nafikiri huta kuwa na mafanikio makubwa sana.

Rais Magufuli ana ndoto zake za kui catappult hii nchi 20 years ahead, lakini hili janga anona litmharibia lengo lake na ndiyo maana anajaribu kwa kadri anavyoweza kulifanya hili janga kama sio kitu kikubwa sana kwa watanzania. Huko aliko atakuwa halali, anakesha kumwomba mungu wake ili hili janga lipite kwa haraka.

Kwa taarifa yako napenda kukutoa wewe na watanzania kwa ujumla wasi wasi kuwa, kwa habari nilizo zipata asubuhi hii kutoka taarifa za habari za Station ya ZDF nchini ujerumani ni kwamba CEO wa kampuni ya Kutengeneza madawa ya BAYER ya ujerumani amethibitisha kuwa dawa za aina ya RESOCHIN ambazo zinatumika sana katika kutibu magonjwa ya malaria zina uwezo pia wa kuua vijidudu vya Covid-19. CEO huyo aliendelea kusema kwamba kampuni yake iko tayari kutoa hizo dawa hata bure ikiwezekana.

Kwa hiyo Rais Magufuli na watendaji wako nafikiri solution la hili janga limepatikana na watanzania hawana sababu ya kuwa na hofu.
Mambo yako bam bam.

Kilicho bakia sasa serikali yetu kuhakikusha inaagiza hizo dawa kwa wingi ili kila mtanzania apatiwe bure kama njia ya kujikinga na maradhi ya Coronavirus.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh dawa ya corona?
 
Mamaangu wewe hivi unajitambua kweli au ''COLONA'' imekupitia?
 
Additionally
Nimeuliza mwanasheria wangu kaniambia kwamba tunatakiwa kutuma 'notice' ya siku 90 (notice of intention to Sue), itapelekwa kwa wizara!idara husika na kwa 'solicitor general'
Hivyo basi nimeshauriwa tuandae hati ya dharura (certificate of urgency)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…