Salama wanajukwaa,
Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari.
Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa gereji zile nzuri kama safari automotive kwa ryder au hata dicksound au kwa wengine ambao hawana majina ila ni watu hatari kwa hizo kazi hasa vijana wa Arusha.
Hebu nipeni mawazo yenu manake niko njiapanda zile gari ni ghali sana zikiwa mpya sasa na uwezo wa kumiliki sina na ninayapenda mno.