Awe na Mil 15- 18Roughly kwa mchanganuo wako hapa umeonesha utatumia tsh 13m ila kiuhalisia utafika juu zaidi ya hapo.
Body tsh 3M.
Injini tah 5M.
Matengenezo 5M.
Usafiri wa body and other hidden associated cost tsh?
Tairi tsh?
Unaota wewe engine ya Hz1 na gia box yake kutoka dubai ni 15m hadi 18m, mitambo ya Ac yote ni 4 to 5m viti 2m, dashboard mpya ya dubai 5m nk. Hiyo biashara unayotaka kuingia utaumia bureSalama wanajukwaa,
Nimejiangalia nimeona siwez kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari.
Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa gereji zile nzuri kama safari automotive kwa ryder au hata dicksound au kwa wengine ambao hawana majina ila ni watu hatar kwa hizo kazi hasa vijana wa Arusha.
Hebu nipen mawazo yenu manake niko njiapanda zile gar ni ghali sana zikiwa mpya sasa na uwezo wa kumilik sima na ninayaoenda mno
Chunguza ni idara gani ya Serikali ambayo wanazo hizo Gari kwa wingi weka 10M yako mfukoni anza mchakato utakuja kunikumbuka.Salama wanajukwaa,
Nimejiangalia nimeona siwez kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari.
Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa gereji zile nzuri kama safari automotive kwa ryder au hata dicksound au kwa wengine ambao hawana majina ila ni watu hatar kwa hizo kazi hasa vijana wa Arusha.
Hebu nipen mawazo yenu manake niko njiapanda zile gar ni ghali sana zikiwa mpya sasa na uwezo wa kumilik sima na ninayaoenda mno
Awe na Mil 15- 18
Hii imekaa kizaman sana hata vifaa vyake sidhan kama vipoTafuta kwa mtu mbona zipo cruiser kwa bajeti yako kuliko kuungaunga engine,gearbox nkView attachment 2399778
wanaziuzaga au wanafanyaje nipe mwangaChunguza ni idara gani ya Serikali ambayo wanazo hizo Gari kwa wingi weka 10M yako mfukoni anza mchakato utakuja kunikumbuka.
Nani kakudanganya mkuu,80 series,engine 1hz ukose spare bongo toka lini!Hii imekaa kizaman sana hata vifaa vyake sidhan kama vipo