Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Jul 28, 2014 #1 Katika pitapita zangu ndani ya net nimekutana na hii na imenifurahisha sana na kunifanya nifanyimie kazi Nawe hebu gonga hapa ujionee mwenyewe . https://m.facebook.com/photo.php?fbid=249951561822278&id=234268703390564&set=a.234327163384718.1073741826.234268703390564&fbt_id=249951561822278&lul&_rdr#s_7244f6f8a5f65e8b2fbbe06b7413a723
Katika pitapita zangu ndani ya net nimekutana na hii na imenifurahisha sana na kunifanya nifanyimie kazi Nawe hebu gonga hapa ujionee mwenyewe . https://m.facebook.com/photo.php?fbid=249951561822278&id=234268703390564&set=a.234327163384718.1073741826.234268703390564&fbt_id=249951561822278&lul&_rdr#s_7244f6f8a5f65e8b2fbbe06b7413a723
HPC 1 Member Joined Jan 7, 2014 Posts 83 Reaction score 25 Jul 28, 2014 #2 Weka iyo link katika namna nzuri ili iweze kuwa accessible
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,067 Jul 28, 2014 #3 hizi link hizi unataka tufungue tu hatujui tunakutana na nini haileti hata maana kabisa! wewe ulitakiwa utoe hata ufupisho wa kilichokuvutia kule halafu ndiyo uweke chanzo chini, au ungekopi tu na kuibandika hapa Ngamba! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hizi link hizi unataka tufungue tu hatujui tunakutana na nini haileti hata maana kabisa! wewe ulitakiwa utoe hata ufupisho wa kilichokuvutia kule halafu ndiyo uweke chanzo chini, au ungekopi tu na kuibandika hapa Ngamba!