Week Iliyopita Nimemsikia Mr Kuku Kwenye Kituo Kimoja Cha RadioMr.Kuku ndio alitumiaga fursa. Ujinga mwingine ni Network marketing, yaani majitu majinga yale sijawahi ona, eti lete milion 5 tukupe cheni, halafu kila mwezi unaingizwa dollar 200 maisha yako yote , stupid!!!!
Ndiyo Ukweli WenyeweShida Ni kupenda kitonga.
Uko sahihi. Hata Mimi nimekuwa nawaza hii fursa kitambo Sana. Kwa sababu napenda ufugaji tangu utotoni Ila kwa Sasa Sina muda Wala eneo la kutoshaPenda kufanya tafiti ndugu....huo ni uwekezaji kama uwekezaji wa hisa tu..mwingine ana muda na utaalamu na soko kubwa lakini hana pesa ya mtaji kukidhi soko hilo...mwingine ana pesa ya mtaji wa kufanya investiment lakini hana muda so anampa pesa mwenye Muda,utaalamu na soko ili azalishe then wanagawana faida...
Mtu akiingiza utapeli humo ni utapeli tu kama utapeli mwingine lakini hivyo vitu vipo real cha msingi kuwa makini tu.
Ukitaka kulima lima mwenyewe aisee na uwe unaenda shamba daily .Kuna mpumbavu mmoja alinishauri tulime mihogo nilichokikuta ni mavimavi tu .Kwanza matuta yapo kama S mengine kama Z.Nyasi kibao mihogo haionekani.Lilivyo jinga linaniambia mihogo haifi we subiri tu mvua irudi mwezi wa 11.Kwa hasira nimelizira shamba atajua mwenyewe
Nakubali mkuu usiwape gap kabisa haoPasua kichwa hao ww acha tu. Mm naenda nao bega kwa bega mpk wamenitunga jina MKUDA. Cku za shamba tulizo kubaliana zote nipo nao. Ukifanya ivyo matokeo unapata grade A