Kufukuza idlers mkahawani

Kufukuza idlers mkahawani

farah hassan

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Posts
492
Reaction score
370
Habari zenu
Kuna mkahawa nimefungua ila Nina tatizo na marafiki wanaokaa nje viti vya customers
Ntawafukuzaje
 
Hahahaha waandikie tangazo kuwa seat reserved for customers only,

Au watengenezee coupons za marufuku wakija tu unawagawia.
Habari zenu
Kuna mkahawa nimefungua ila Nina tatizo na marafiki wanaokaa nje viti vya customers
Ntawafukuzaje
 
Waambie una free seats kwa ajili yao home kwako,hapo ni sehenu ya biashara kila seat inalipiwa!
 
Kila baada ya dakika chache mwambie mhudumu awaulize huduma wanayohitaji....watajua hawatakiwi, kama hawaondoki watakunywa hata soda au maji
 
Nafurahi umeona tatizo mapema, kuwa serious na uwaambie ukweli kuwa hilo ni eneo la biashara na pia uwe unawauliza huduma wanayotaka mara kwa mara ukichelewa utapoteza wateja
 
Fanya kitu kirahisi wakija tu,mmoja unampa fagio hebu mwana nisaidie kufagia fagia hapo nje mwingine unampa kitambaa akusaidie kufuta viti mwingine unamuita jikoni mnasaidiana kukausha vyombo.

Fanya hili zoezi kama mara 2 au 3 hivi uone kama wataendelea kuja kazini kwako.
 
Hao marafiki zako ni watoto au mana kama niwatu wazima wanashindwa hata kusoma picha jaman
 
https://www.JamiiForums.com.com/ind...-idlers-in-my-shop.108387/page-2#post-2181597
 
Back
Top Bottom