farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 370
Habari zenu
Kuna mkahawa nimefungua ila Nina tatizo na marafiki wanaokaa nje viti vya customers
Ntawafukuzaje
Jawabu mjerebu. KILA seat weka kibao "RESERVED"Hahahaha waandikie tangazo kuwa seat reserved for customers only,
Au watengenezee coupons za marufuku wakija tu unawagawia.
Ukicheka na nyani utaambulia mabua... Jaribu kutenganisha kazi na urafiki... Utakapoanguka ndio watakuwa wa kwanza kukuchekaHabari zenu
Kuna mkahawa nimefungua ila Nina tatizo na marafiki wanaokaa nje viti vya customers
Ntawafukuzaje
Ushauri murua kabisa huu.Kila baada ya dakika chache mwambie mhudumu awaulize huduma wanayohitaji....watajua hawatakiwi, kama hawaondoki watakunywa hata soda au maji