A ACTIVCT Member Joined Jul 25, 2011 Posts 18 Reaction score 0 Jul 28, 2011 #1 Serikal kufukuza wanafunzi Udom ni suluhisho la kumaliza migomo? Chakusikitisha wazir waelimu alitangaza wanapewa field, kesho yake wakafukuzwa, Huu ni usanii ndani ya elimu au ni nini?.
Serikal kufukuza wanafunzi Udom ni suluhisho la kumaliza migomo? Chakusikitisha wazir waelimu alitangaza wanapewa field, kesho yake wakafukuzwa, Huu ni usanii ndani ya elimu au ni nini?.