Kufukuzwa kazi

Mosse Anney

Member
Joined
Feb 6, 2019
Posts
11
Reaction score
3
Habarini wadau napenda kuuliza mtu anapo fukuzwa kazi na anamkataba wakudumu na amefanya kazi zaidi ya miaka mitano je anatakiwa kupewa haki zipi?
 
Atapewa haki zilizopo kwenye huo mkataba alio nao. Maana umesema ana mkataba wa kudumu. Huo lazima utakuwa na haki na wajibu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuacha au kuachishwa kazi.
 
Atapewa haki zilizopo kwenye huo mkataba alio nao. Maana umesema ana mkataba wa kudumu. Huo lazima utakuwa na haki na wajibu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuacha au kuachishwa kazi.
Mh
 
alafu hizo haki itategemea kafutwa Kazi kwa sababu zipi mf,uzembe kazini ama vyeti feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…