Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC.
Kama surprise mbele ya Wanachama wa Yanga Gamondi alidai ametokea Club kwenye show ya Marioo baada ya kuulizwa na Rais wa Yanga, Eng. Hersi na ukumbi mzima ukaripuka kwa furaha bila kufikiria kuwa wanatengeneza tatizo.
Kwenye moja ya sababu za kutimuliwa Master Gamondi inadaiwa kuwa ni ishu ya kinidhamu ambayo ilipelekea kuwa na kundi la wachezaji ambao inaelezwa alikuwa anatoka nao kwenda kula bata.
Tatizo la kinidhamu waliendekeza wenyewe viongozi ila limeondoka na kibarua chake
Miguel Ángel Gamondi aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa Yanga, akichukua nafasi ya Nasreddine Nabi. Aliongoza Yanga kushinda taji la Ligi Kuu ya Tanzania kwa mara ya 30 na kufikia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji

wewe ndo huwa unatumwa kupeleka hivyo vitu? Ukitakiwa kupeleka ushahidi wa dhahiri uta kua nao? Acha kuropoka vitu visivyo na maana. Usitumie bando, kifaa na muda vibaya.