Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 408
Ninakumbuka hapo zamani sijui ni lini but inawezakuwa miaka ya 1980 hivi Simba palikuwa na Kocha mmoja MZUURI MNOakiitwa Nnabi Kamara ambaye alitengeneza backline kiboko sana ya akina Aloo Mwitu , Hamis Askari nk na kule Yanga nadhani alikuwa Tambwe Leya kukazuka kuropokaropoka kwa makocha hawa Dooo serikali iliwapa saa48 kuondoka , hebu mwenye taarifa nzuri anijuze
Nikirejea manenonmaneno ya Zahera na taasisi ya TFF
Nikirejea manenonmaneno ya Zahera na taasisi ya TFF