Halafu wamefuta DARUSO ili waendeleze udikteta. Katiak dunia ya leo, bila ushirikishaji wa wahusika mambo hayawezi kwenda kabisa. Believe me, kukosekana kwa Serikali ya Wanafunzi kutazidisha vurugu na migomo. Ni ajabu na kweli kwamba Ma-prof, Madkt, wasomi wazima wameshindwa kuona umuhimu wa DARUSO. Hivi huyu Makenya anatokea wapi? Kenya? au