Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Ni swali tu jamani maana naona soko la bidhaa hizo limeshika kasi ya ajabu kutokana na ongezeko la wateja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidiria hazina madhara yeyote kwa afya nafikiri mtu yeyote akinunua kitu cha mtumba lazima akifue before kukivaa, mimi nashauri mtu anaetumia bidhaa hizo akkishanunua ahakikishe amefua na ametumia deto ili kuua vijidudu kama vipo.
Tatizo ni umaskini wetu hatuna jinsi hivi kwann selikari isipige marufuku uingizwaji wa hizi nguo :spider:
Labda serikali ijayo lakini hii ya sasa usitarajie kabisa. Imeacha uhuru wa kufanya chochote upendacho.