Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mmmh!
Msandawe una utani na watani zangu...juzi ulikuwa mtwara ukaleta kiroja leo upo mombo. Tafadhali usifike kwetu moshi. ishia huko huko
Moshi nitapita kimya kimya, hawa jamaa wamekuwa wakali katika jamvi letu hapa. Mara Ohhh! Wachaga wachaga kila siku. Mimi najua kwa nini hawa jamaa wakali ukiwagusa, WAMEFULIA JANUARY. Ngoja tuwavutie pumzi. Acha wapumzike, Hija siyo maskhara kule milimani, huwa wanashindana kuzungusha round.
Nimeiona, umefanya kazi nzuri sana!Kazi umeiona huko kwa under 18??
Unajua mbege ya elfu kumi unapata lita ngapi?
Kule ni mbege kidogo na maji ya dhahabu kwa wingi Baba angu. Mbege vitochi 2 tu, halafu heshima inafuata
naona una project ya kuzunguka nchi nzima maana juzi ulikuwa Rufiji ukakuta watoto wa mwenzeji wako hawafanani usisahau kupitia Sumbawanga halafu Pemba kisha malizia Mombasa kwa watani wetu wa jadiNipo maeneo ya Same, nimeamua kumpa lift mchaga wa kishimundu anaelekea kwao milimani toka Mombo baada ya bageni ya mda mreefu juu ya nauli, nikaona isiwe tabu, bora nimpe lift tu.
Jamaa ndani ya gari ananiabarisha, ukitaka kumjua mpare katika majeruhi wa ajali kama ya basi hivi kwa jinsia ya mwanamme. Wewe tafuta kufuli ya mwanadada hasa Yule aliyenona. Pitisha katika pua za majeruhi wote. Atakayepiga chafya tu, ujue huyo ndiye mpare.
Ya Mombo Tanga nimepeleka kwenye kamati ya mapitio kabla sijaiwakilisha hapa jamvini. Ila nitawapeni kisa na mkasa cha mombo hapo baadae
Siku njema wa JF
naona una project ya kuzunguka nchi nzima maana juzi ulikuwa Rufiji ukakuta watoto wa mwenzeji wako hawafanani usisahau kupitia Sumbawanga halafu Pemba kisha malizia Mombasa kwa watani wetu wa jadi
Moshi nitapita kimya kimya, hawa jamaa wamekuwa wakali katika jamvi letu hapa. Mara Ohhh! Wachaga wachaga kila siku. Mimi najua kwa nini hawa jamaa wakali ukiwagusa, WAMEFULIA JANUARY. Ngoja tuwavutie pumzi. Acha wapumzike, Hija siyo maskhara kule milimani, huwa wanashindana kuzungusha round.
Unajua mbege ya elfu kumi unapata lita ngapi?
Unajua mbege ya elfu kumi unapata lita ngapi?
si utanuka haja, we nenda tu bila bati akili kumkichwa
Haipo kwenye ratiba yangu, ikinibidi nitaenda. Ila kwanza nitengeneze ile bati ya kufunga na kufuli sehemu ya mkanda