Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
- Thread starter
-
- #21
<br />Vyote ni ujinga tu. Kujitia aibu. Kama mwenzi wako umeambiwa yupo mahali anafanza tendo la ndoa, hamna haja ya kwenda kwani unajiaibisha mwenyewe pia. Chukua hatua nyingine unazoona zinafaa
Toa sababu kuntu kutetea jibu lako .