Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Habari za asubuhi?nadhani umeamka salama na unajiandaa kuelekea ktk ujenzi wa Taifa,nilikuwa nina swali ambalo lnahtaji majbu yenu.... Hivi utakapomfumania Mkeo/demu/mume/bwana wako live akiwa anashughulika/kakumbatiwa nini utakifanya ktk wakati mgumo huo?
Matamanio kwa kweli yanachangia mtu kwenda kumega tunda nje ya uhusiano.na kwanini ifike demu kuliwa na wengine au
inakuwa humtoshelezi au hatosheki? na mume
naye hatoshelezwi na demu wake au hatosheki?
au ni matamanio tu?
hali ngumu kuamuwa, unaweza ukauwa.
ikiwa ni mimi, nitamwambia jamaa atulie na
mimi niweke BOLT yangu ndani ya NUT yake:hand:
hahahahaha hii ime2lia...sawa na ndoto, "huwezi chagua utaiota vipi!"
Ikishakutokea ndipo utajua ukurupuke, ujikojolee, au kuishia 'kuvuta shuka!'
ndo manake maana unaweza fanya maandalizi uaishia kuzimia na usifanye kitu au ukapokea kipigo kutoka kwa mumeo!!Huwa hakuna maandalizi ya kitakachotokea. Kitatokea kitakachookea eneo la tukio