Kufumwa ukiangalia picha za ngono!

Kufumwa ukiangalia picha za ngono!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,591
Reaction score
1,616
Umefungua laptop yako na mara unajisikia kutembelea jukwaa la kikubwa baada ya kujiunga kwenye mtandao wa JF,
Wkati unachungulia picha moja baada ya nyingine mara wife yako anatokea na kuanza kufoka kujua ni kwa nini unaangalia picha hizo za ngono.
Kumbe alikuwa akikufuatilia kwa muda tokea unaingia kwenye hilo jukwaa la wakubwa mpaka unafungua baadhi ya wadada wali watupu!
Anaanza kuwaka kwa hasira na kusema kumbe wewe ni msaliti wa ndoa yenu maana haimjii akilini kuanza kuangalia picha za utupu na wakati yupo available..
Kama ndio wewe ungefanya nini kumrudisha wenye mood? msaada tafadhali wanaJF
 
Weeeeeeh!...huoni kama hiyo nio balaa zaidi Yesoya? anaweza akavutiwa na hiyo mijama halaf ikawa mbaya mno!
heee!mfungulie za madume iliyojaaliwa na yeye aone...azawaizi muombe msamaha tu!
 
Mi dingi alinibamba miaka ile ya tisini naangalia mkanda wa X usiku wa manane. Aakaninyatia sebuleni na kunikwida kwa nyuma " Unafanya nini hapa" nikashindwa kujibu, akanipiga kofi moja na kuniambia nenda kalale, huku yeye akibaki anacheki porn
duuhh..huyo alikuwa tishio..alipenda na yeye ajifunz unachojifunza..ingekuwa sawa mngekaa wote?
 
kama mie soon nitabambwa naangalia,nadhani hawataaamini naangalia watu wakitigoana ....:mad2::shut-mouth:
 
Mi dingi alinibamba miaka ile ya tisini naangalia mkanda wa X usiku wa manane. Aakaninyatia sebuleni na kunikwida kwa nyuma " Unafanya nini hapa" nikashindwa kujibu, akanipiga kofi moja na kuniambia nenda kalale, huku yeye akibaki anacheki porn

duh hii kali
 
kama mie soon nitabambwa naangalia,nadhani hawataaamini naangalia watu wakitigoana ....:mad2::shut-mouth:

umetisha...sasa hao wadudu wanao nyevuanyevua nani atawashusha?
 
Umefungua laptop yako na mara unajisikia kutembelea jukwaa la kikubwa baada ya kujiunga kwenye mtandao wa JF,
Wkati unachungulia picha moja baada ya nyingine mara wife yako anatokea na kuanza kufoka kujua ni kwa nini unaangalia picha hizo za ngono.
Kumbe alikuwa akikufuatilia kwa muda tokea unaingia kwenye hilo jukwaa la wakubwa mpaka unafungua baadhi ya wadada wali watupu!
Anaanza kuwaka kwa hasira na kusema kumbe wewe ni msaliti wa ndoa yenu maana haimjii akilini kuanza kuangalia picha za utupu na wakati yupo available..
Kama ndio wewe ungefanya nini kumrudisha wenye mood? msaada tafadhali wanaJF

Jibu "kompyuta yangu ina virus,nikifungua mafaili yanatokea mengne,hapa nilikuwa JUKWB LA DINI ghafla naona hvi "
 
inategemea mlivyozoeshana; mwingine ataona kawaida tu (mnaweza hata kucheck pamoja) wakati kwa mwingine inaweza kuwa issue
 
Mm wa kwangu anajua .com website zote za porn anazijua aluushafanta cafe
Ngoma ilifumuka siku Mama mzazi alipomwambia wife amechukua VHS kutizama. Bohgo Movie kakuta picha za ajabu wife hakumuelewa maana mkanda huo nilibambikia cover fix wife hakiwaza lolote wala kuuchukua maana tunaishi jirani
Siku naikusanya mikanda yangu mbele ya Mama na mwanangu nikawa nai-test ktk deck ya mikanda mbele yao hamad ni ule wa full tiGo ulikuwa nimetoa alama zote miezi 6 iliyopita kuwahi nilizima TV nikabeba mikanda yote na ya Mama sijui alinielewaje
Wazazi wetu nao!!
 
mi dingi alinibamba miaka ile ya tisini naangalia mkanda wa x usiku wa manane. Aakaninyatia sebuleni na kunikwida kwa nyuma " unafanya nini hapa" nikashindwa kujibu, akanipiga kofi moja na kuniambia nenda kalale, huku yeye akibaki anacheki porn

mtoto muhuni.....baba muhuniiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom