Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
heee!mfungulie za madume iliyojaaliwa na yeye aone...azawaizi muombe msamaha tu!
kwa hiyo hakuna namna ya kuupoza moto wa namna hii?aibu ya mwaka, bora ungemshirikisha kabla.
duuhh..huyo alikuwa tishio..alipenda na yeye ajifunz unachojifunza..ingekuwa sawa mngekaa wote?Mi dingi alinibamba miaka ile ya tisini naangalia mkanda wa X usiku wa manane. Aakaninyatia sebuleni na kunikwida kwa nyuma " Unafanya nini hapa" nikashindwa kujibu, akanipiga kofi moja na kuniambia nenda kalale, huku yeye akibaki anacheki porn
mkuu mwambie ulikuwa "twisheni"
heee!mfungulie za madume iliyojaaliwa na yeye aone...azawaizi muombe msamaha tu!
kama mie soon nitabambwa naangalia,nadhani hawataaamini naangalia watu wakitigoana ....:mad2::shut-mouth:
Mi dingi alinibamba miaka ile ya tisini naangalia mkanda wa X usiku wa manane. Aakaninyatia sebuleni na kunikwida kwa nyuma " Unafanya nini hapa" nikashindwa kujibu, akanipiga kofi moja na kuniambia nenda kalale, huku yeye akibaki anacheki porn
kama mie soon nitabambwa naangalia,nadhani hawataaamini naangalia watu wakitigoana ....:mad2::shut-mouth:
Umefungua laptop yako na mara unajisikia kutembelea jukwaa la kikubwa baada ya kujiunga kwenye mtandao wa JF,
Wkati unachungulia picha moja baada ya nyingine mara wife yako anatokea na kuanza kufoka kujua ni kwa nini unaangalia picha hizo za ngono.
Kumbe alikuwa akikufuatilia kwa muda tokea unaingia kwenye hilo jukwaa la wakubwa mpaka unafungua baadhi ya wadada wali watupu!
Anaanza kuwaka kwa hasira na kusema kumbe wewe ni msaliti wa ndoa yenu maana haimjii akilini kuanza kuangalia picha za utupu na wakati yupo available..
Kama ndio wewe ungefanya nini kumrudisha wenye mood? msaada tafadhali wanaJF
swali zuri sana...naamini yuko tayari kukujibu...ila isiwe ikawa ni namna ya kutaka uombwe msaada Kyalowumetisha...sasa hao wadudu wanao nyevuanyevua nani atawashusha?
Jibu "kompyuta yangu ina virus,nikifungua mafaili yanatokea mengne,hapa nilikuwa JUKWB LA DINI ghafla naona hvi "
mi dingi alinibamba miaka ile ya tisini naangalia mkanda wa x usiku wa manane. Aakaninyatia sebuleni na kunikwida kwa nyuma " unafanya nini hapa" nikashindwa kujibu, akanipiga kofi moja na kuniambia nenda kalale, huku yeye akibaki anacheki porn