Umefungua laptop yako na mara unajisikia kutembelea jukwaa la kikubwa baada ya kujiunga kwenye mtandao wa JF,
Wkati unachungulia picha moja baada ya nyingine mara wife yako anatokea na kuanza kufoka kujua ni kwa nini unaangalia picha hizo za ngono.
Kumbe alikuwa akikufuatilia kwa muda tokea unaingia kwenye hilo jukwaa la wakubwa mpaka unafungua baadhi ya wadada wali watupu!
Anaanza kuwaka kwa hasira na kusema kumbe wewe ni msaliti wa ndoa yenu maana haimjii akilini kuanza kuangalia picha za utupu na wakati yupo available..
Kama ndio wewe ungefanya nini kumrudisha wenye mood? msaada tafadhali wanaJF