Kufunga choo

Kufunga choo

mpe vitu vya kuharisha (mf: maziwa, mtindi) , yaani ashindie maziwa asubui mchana jioni wallahi choo kitafunguka
 
Chukua glasi ya maji changanya na sabuni ya mche ili upate povu kwa mbali (maji yabadilike rangi kidogo)....Mnyweshe.
 
Mtoto ana umri gani? Amewahi kutumia dawa yoyote? Jibu nikuandikie dawa!
 
Ana miaka 3 wa kiume.Ni mnene kupitiliza.Alikuwa anatumia antibiotic ya kufua na mseto wa malaria
Why mnaruhusu mtoto awe overweight ?

Badilisha menu yake and encourage him to be more active physically.
 
Back
Top Bottom