Kufunga gyspum, mikanda na kuskim chumba kimoja

Kufunga gyspum, mikanda na kuskim chumba kimoja

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Wazoefu wa ujenzi,

Nipeni makadirio ya gharama inayostahili kwa labour charge ya
  • Kufunga gyspum boards na mikanda yake,
  • Kuskim gyspum na ukuta,
Na
Kupaka rangi,
Kwa chumba cha futi 11×11.
 
Back
Top Bottom