joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ndugu wana JF, hali ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Uganda inaongezeka kwa kasi zaidi kuliko nchi yoyote hapa Afrika mashariki.
Uganda imekua nchi ya mwisho kutangaza kuwepo kwa mgonjwa wa kwanza na imekua nchi ya kwanza Kufunga mipaka yake kabla hata ya kugundua kuwepo kwa mgonjwa nchini humo, lakini chini ya wiki mbili tangu kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza, idadi imeongezeka kwa kasi Sana na kufikia wagonjwa 30 hadi leo asubuhi.
Kitu kinachotia wasiwasi na kujiuliza ni vipi idadi hiyo inaongezeka Wakati hakuna wageni wanaoingia nchini Uganda?.
Jambo lingine la kujiuliza ni kwamba, katika nchi zote za EAC, no Uganda pekee ambayo imekua ikikumbwa na Ugonjwa wa Ebola mara kwa mara, tulitegemea Uganda kuwa na uzoefu wa kutosha ktk kukabiliana na magonjwa ya aina hii, lakini ndio nchi inayoathirika kwa kasi zaidi kuliko nchi zingine zote.
Tunafanyaje ili kumshauri Huyu jirani wetu ili ajinusuru na kutunusuru sisi sote?
Sent using Jamii Forums mobile app