Kufunga Ndoa Raha Teeele!

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
206


Hadi Kifo kitutenganishe!

 
Muungwana mmoja aliuliza ni chakula kipi kinaleta mateso makubwa kwa miaka mingi toka kiliwe akajibu KEKI YA HARUSI ndoa ili usipate mateso makubwa baada ya kula keki ya harusi mnatakiwa muwe kitu kimoja kwa kula hali,isiwe kisamvu kimezidi mtu unatoka bomba au mamsapu kapata shepu ya michellini mwanaume unakimbilia kwenye vimobitel
 


Sasa hapa bi harusi ni yupi?
 
Mkubwa wewe ndio unasema kufunga ndoa raha sana??Ok sawa sawa ila raha ya ndoa mpaka ukisha kaa baada ya miaka 2 ndio raha inaonekana kuanzia pale!
 


Ndoa za Mafungu hizi ...Ni nzuri sana kwaajili ya watu wajasiriamali na kwa kuokoa gharama zisizokuwa za msingi.
 
it looks good. oeni basi nanyi muishi hadi kifo kiwatenganishe
 
NDOA ZINA RAHA YAKE!
ingawa miaka miwili ya mwanzo huwa ni migumu kidogo kwa vile kila mtu anakuwa na tabia na udhaifu wake,mnahitaji muda kuzieana na KUCHUKULIANA MLIVYO!thereafter,NDOA INA RAHA YAKE BWANA
 
NDOA ZINA RAHA YAKE!
ingawa miaka miwili ya mwanzo huwa ni migumu kidogo kwa vile kila mtu anakuwa na tabia na udhaifu wake,mnahitaji muda kuzieana na KUCHUKULIANA MLIVYO!thereafter,NDOA INA RAHA YAKE BWANA
WE ARE JUST COUNTING DAYZ😀,
13TH FEB,
12TH FEB,
11TH FEB,
10TH FEB,
.
.
.
Today.
 
Hii ni Harusi ya kiislam! Bi Harusi ni miongoni mwa waliojifunika hadi machoni
Una uhakika...??? isije ikawa mtu kaja na mabomu kaamua kuvaa kama hivyo........ Sioni chochote cha kunifanya niamini hao waliojifunika ni wanawake......teheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…