msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Sawa Mkuu.Mimi sio mtaalamu sana, ila tairi size 185/70R14 ni kubwa na pana kuliko 165/70R14. Kibongobongo unaweza kufunga ila ujue gari itanyanyuka nyuma na kudidimia mbele kwa asilimia fulani.
Shukrani Mkuu, so means naweza kufunga tu na haitaweza leta shida yoyote kwa maana ya ufanisi.Haina shida height ziko sawa zote ni 70 issue hapo ni upana. Kwa maana area yq friction moja ni kubwa.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Unafunga bila shida na hautaona tofauti ila kwenye tope au mchanga traction itakuwa imepungua sio kama ulivyozoeaShukrani Mkuu, so means naweza kufunga tu na haitaweza leta shida yoyote kwa maana ya ufanisi.
Asante mkuuUnafunga bila shida na hautaona tofauti ila kwenye tope au mchanga traction itakuwa imepungua sio kama ulivyozoea
Hainyanyuki maana height zote ni sawa /70 hizo tarakimu za mwisho ni upana tu wa tairiMimi sio mtaalamu sana, ila tairi size 185/70R14 ni kubwa na pana kuliko 165/70R14. Kibongobongo unaweza kufunga ila ujue gari itanyanyuka nyuma na kudidimia mbele kwa asilimia fulani.
Gari inasokotea mbele so haina shida kabisaHaina shida height ziko sawa zote ni 70 issue hapo ni upana. Kwa maana area yq friction moja ni kubwa.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Asante EINSTEIN112 hakika jf ni kisima cha maarifa.Gari inasokotea mbele so haina shida kabisa
🤝🏻🤝🏻Asante EINSTEIN112 hakika jf ni kisima cha maarifa.
185 na 165 ni upana wa tairi.Mimi sio mtaalamu sana, ila tairi size 185/70R14 ni kubwa na pana kuliko 165/70R14. Kibongobongo unaweza kufunga ila ujue gari itanyanyuka nyuma na kudidimia mbele kwa asilimia fulani.