Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?Maswali yangu
1) Ni Kampuni gani inaweza kunitungia Fibre au huduma ya internet kwangu ambayo Ni affordable zaidi
2) Je, kifurishi au package kwa mwezi inakuwaje
3) Je, idadi ya watumiaji ikiwa kubwa speed itaoungua ya internet mfano watu 5 hivi
MSaada tafadhali
Hiyo gharama ni kwa mwezi au kwa siku?Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k
UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.
Ni kwa mwezi mkuuHiyo gharama ni kwa mwezi au kwa siku?
gharama za copper zipoje nazo chiefNi kwa mwezi mkuu
#RudiNyumbaniKumenoga
gharama za copper zipoje nazo chief
waya kutoka barabarani mpaka kwa nyumba ?4Mbps ni 25k
8Mbps ni 50k
12Mbps ni 80k
Malipo ni kwa mwezi.
Gharama ya ufundi ni BURE.
Vifaa jinunulie ili ufungiwe fasta.
Gharama za kununua vifaa zipoje. Na vifsa gani vinahitajika.4Mbps ni 25k
8Mbps ni 50k
12Mbps ni 80k
Malipo ni kwa mwezi.
Gharama ya ufundi ni BURE.
Vifaa jinunulie ili ufungiwe fasta.
TTCL wababaishaji nyie, unless otherwise muwe mmebadilika sikuizi.Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k
UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.
waya kutoka barabarani mpaka kwa nyumba ?
Gharama za kununua vifaa zipoje. Na vifsa gani vinahitajika.
na je ADSL unaungaje na vifaa janja vingine unatumia kifaa gani kutoka kwenye internet ya waya kusambaza kwenye vifaa vingine kama simu,tv etc
Kanungila Karim
TTCL wababaishaji nyie, unless otherwise muwe mmebadilika sikuizi.
Niliwafuata Mwaka Jana, wakaja na kufanya Survey gharama zake zikawa karibia Milioni 4 (installation).
Nahapo nataka kuvuta, Mikocheni B karibu kabisa na Ofisi zao za Kijitonyama.
Vifaa ni kipi na kipi na jumla hivyo Vifaa itanigharimu kihasi ganiNjoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k
UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.
Ndio bado mko mjini, sie wa kigamboni huku lini mtasogea?Now ni FREE!
Kuanzia survey mpaka ufundi. Nitumie mawasiliano yako na eneo unalotaka kuja kufungiwa hiyo huduma.
Ndio bado mko mjini, sie wa kigamboni huku lini mtasogea?