Kufungiwa huduma ya internet gharama zake zipoje?

Hiyo inakua unlimited for one month au?
 
Now ni FREE!
Kuanzia survey mpaka ufundi. Nitumie mawasiliano yako na eneo unalotaka kuja kufungiwa hiyo huduma.

Boss kutoka nilipo na road ambapo waya zimepita kuna kama 200 meters, je kutakuwa na gharama zaidi ikiwa vifaa nitanunua mwenyewe?
 
Now ni FREE!
Kuanzia survey mpaka ufundi. Nitumie mawasiliano yako na eneo unalotaka kuja kufungiwa hiyo huduma.
TTCL nimefatilia huduma unaenda mwezi wa tano sasa....nimeanza kukata tamaa kwakweli.

Mara ya mwisho kama mwezi umeisha sasa fundi wao ananambia vifaa havijafika nchini....na story kama hizo....so nisubiri.

Ni kama nimepwaya hivi.
 
Mbezi Louis mmefika.?
 
Pole sana kwa changamoto mkuu. Nakushauri ungeongea na fundi akutajie kifaa kipi na kipi kinachohitajika, kama una bajeti unaweza ukajinunulia vifaa kisha yeye atakuja kukufungia BURE!

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…