joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona kwenye ujumbe wangu nmekuorozeshea vitu vya kujifunza au umeshindwa kuchambua?Hebu orodhesha hayo mengi ambayo umejifunza kutoka kwake!
Umeshaona wanao koment Instagram accounts ya Masanja ,wengine wanasema anaringa ,anajidai sababu anapost maisha mazurimbona masanja ana maisha mazuri sana
Mbona kwenye ujumbe wangu nmekuorozeshea vitu vya kujifunza au umeshindwa kuchambua?
Haya onyesha sehemu uliyoorodhesha (siyo kuorozesha).Labda baadhi yao wanachuki ila mfano mimi namkubali sana na kwake kuna mengi yakujifunza sema kwa sasa hivi jamaa anazidisha baadhi ya Vitu atujafikia bado kuanza kuimba matus waziwazi na kuwatuna ovyo ovyo uo ni ukaid na ujeur ila bado tunajifunza pia ukifanikiwa usiwe hivyo........!
Mwangalie zaman alikua mtu humble sana ata kwenye interview zake ila mtazame sasa hiv n tofaut.
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa.
Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi.
Jamani tuache roho mbaya.. kwanini lakini?
Umemaliza.Watu wengi wanapata hasira wanapoona MTU masikini kawa na uwezo Wa kimaisha au kuwa na mafanikio ..hawataki kukubali kama umetoboa
Wee jamaa huko humble sana. Kuna wakati nilitakaga kuingia anga zako humu nikapiga breki baada ya kukuchunguza sijui unakumbukaKitendo cha Diamond kumpiga vdo clip yule mfanyakazi wa uwanja wa ndege bila ridhaa yake na kutuma kweye social media hakikua chakiungwana na hakikutakiwa kufanywa na mtu kama Diamond,
Kuhusu watu kufurahia Diamond kufungiwa,huwezi kuwahukumu moja kwa moja kua watu wamefurahia kwa kumchukia tu Diamond bali huenda wamefurahi kuona kua sheria zipo kwa wote na hazibagua hata kama wewe ni star,nobody is above the law,
But watu wasiishie tu kufurahia kwa Diamond kufungiwa bali wajifunze kupitia kwa Diamond kufuata sheria za nchi,
Mwisho mimi napenda kusikiliza nyimbo za Diamond na Ali kiba wanafanya vizuri so far.
One love.
Sijakuelewa mkuu,come again.Wee jamaa huko humble sana. Kuna wakati nilitakaga kuingia anga zako humu nikapiga breki baada ya kukuchunguza sijui unakumbuka
Pole sana.Mie nimehuzunika sana