Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ninanusa mpango wa kuanza kufungiafungia vyombo vya habari ambavyo vinakosoa serikali hii, lakini ili hilo lifanikiwe ni lazima serikali ya CCM ijifanye iko fair, ndiyo eti chama kilichukua hatua kwa gazeti lake.
Hii issue imesukwa kiustadi ili ije iwe fimbo ya kuvichapia vyomb vingine watakavyovitarget huko mbeleni, kwamba hata sisi chombo chetu tumewahi kukiwajibisha je nyie ni nani?
Lakini pia taarifa hii ya gazeti la UHURU kuwa Samia hana mpango wa kugombea, ni mbinu ileile ya kuwatoa watu kwenye reli. Samia alichemsha alivyodai kuwa Watanzania wamekubali tozo za miamala, hii kitu ingerudi kwenye midomo ya wananchi tena, watu wangeshtuka na kuanza kuwa sensitive tena na utumaji wa hela kupitia hizo simu, lakini pia ingemuonyesha rais kuwa ni kigeugeu maana ni majuzi tu alisema kuwa kasikia kilio cha watu kuhusu tozo na analifanyia kazi. Sasa ili kuspin hizi taarifa ilibidi itengenezwe stori nyingine feki ili kudilute huu mjadadal
Ndugu zangu, Gazeti kama la UHURU haliwezi kamwe kuandika habari hiyo bila kupewa go ahead na "wakubwa", hiyo news inahusu career ya rais na Mwenyekiti wa CCM, wasingethubutu kuiandika kama wangekuwa hawajui wanafanya nini.
Hii ni game ya kisiasa tu tunachezewa, people wake up