mwenemalila
Member
- Sep 3, 2024
- 18
- 28
Wimbo wa kiboya tu anafosi kuimba kingereza sauti haiendani na maneno.Uweke me sijausikia
Yes. Baada ya wimbo kubumaTangazo la biashara
Siyo kuusikia aweke hapa hiyo video tuone na sisiUweke me sijausikia
Sijaona tatizo lolote kwenye huo wimbo, nimeangalia na wimbo wake wa bedroom unataka kufanana, kwa hiyo hao wadada kisa wana makalio makubwa ndio wasiruhusiwe kucheza watakavyo???Wimbo wa kiboya tu anafosi kuimba kingereza sauti haiendani na maneno.
Wimbo bado upo YouTube
View attachment 3676781