Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu humu. Jumapili nilisikia taarifa ( ITV ) kuwa kuna vyuo 40 vya certificate had digrii ambavyo vimefungiwa kutokana na kukosa sifa. Mwenye kuvifahamu vyuo hivyo tafadhali naomba ani-update: