Kufungiwa kwa wimbo wa Mwanza Nyegezi; Je, ni wazo la bodi nzima au wazo la kibinafsi?

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Habari Wana JF!

Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata shida sana kujua mchango wa wajumbe wa bodi walioteuliwa na Mh Mwakyembe kama nao walihusika vipi katika uamuzi wa kutetea ama kuhalalisha kile Basata walichokifanya kwenye maamuzi yao.

Hii bodi naomba kujuzwa mchango wake katika kufungiwa wimbo huu. Kwanini sisi Tanzania tusifike mahali tukaweka age rate kwenye vipindi vyetu tunavyotazama na kusikiliza katika luninga na redio!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…