zebedayo musibha
Senior Member
- Oct 26, 2019
- 111
- 86
Tangia mashule na vyuo yafungwe kwa dharura ya ugojwa wa CORONA , kuna baadhi ya shule binafsi yaani PRIVATE wafanyakazi wake walimu na wasio walimu wamefungiwa mishahara yaani hawalipwi na wakati wana mikataba na hakuna taarifa yeyote toka kwa uongozi wa shule husika
Je, hili kisheria likoje?
Naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu hili swala.
Je, hili kisheria likoje?
Naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu hili swala.