Kufungiwa nyimbo sheria ipoje?

patano

Senior Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
100
Reaction score
61
Inakuwaje pale nyimbo ya msanii imefungiwa hapa nchini je ataruhusiwa kuipiga au kuicheza nje ya nchi?

Mfano Diamond kafungiwa nyimbo zake flani na huku kachaguliwa kushiriki kuandaa nyimbo ya kombe la Dunia huko Urusi mwaka huu.

Je akiombwa kuimba wimbo uliokwisha fungiwa hapa Tz ataweza kuimba na huku taifa zima linajua Diamond anaiwakilisha Tanzania pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…