Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nakubaliana na hoja yako; swali ni kwa nini ulisoma hiyo fani?Kwaiyo niendelee kuteseka mkuu!!? Kuna Taaluma zingine mbali na kuajiliwa hakuna option B (Digrii ya Mipango Miji)
Swala la kwanini nilisoma halina umuhimu maana nishasoma mkuu, kuna maswala kama uelewa mdogo kwenye course selection, kusalitiwa na marefarii, kufata mkumbo na nkNakubaliana na hoja yako; swali ni kwa nini ulisoma hiyo fani?
Udalali wa ndegeAliyesomea urubani afungue biashara gani mkuu?
Swala la kwanini nilisoma halina umuhimu maana nishasoma mkuu, kuna maswala kama uelewa mdogo kwenye course selection, kusalitiwa na marefarii, kufata mkumbo na nk
Alisomea urubani akitegemea nani amuajiri?Udalali wa ndege
Na kitendo cha kunizuia nisifanye kitu nje ya taaluma yangu ni upotevu wa rasilimali mkuu yaan nimepoteza pesa na bado unataka nipoteze nguvu kazi pia😀😀😀. ieleweke tu, kufanya shughuli yoyote nje ya taaluma yako ulioisomea; huo ni upotevu wa ada, kwa sababu ile elimu haikusaidii; bora ile fedha ingetumika hata kwa kulimia mpunga
Ni sawa na kuchukua mkopo benki kwa ajili ya biashara, ukaenda kuimalizia baa na watoto wazuriNa kitendo cha kunizuia nisifanye kitu nje ya taaluma yangu ni upotevu wa rasilimali mkuu yaan nimepoteza pesa na bado unataka nipoteze nguvu kazi pia
Je, baada ya hapo, utakifanya kile ulichokisomea?Wazazi wamenisomesha ili nipate ajira sasa ajira sina alafu niendelee kugombania nao hizi gunia mbili za mahindi si bora nitoke nikaanzishe Biashara yangu ya laki tatu
Nitafanya profit determination hichi nnachofanya na kile nilichopaswa kipi kinaingiza faida kubwa na je uwezekano wa kuendeleza hichi endapo nntapata ajira then ntachukua uamuzi wa AKILI KICHWANI PESA MKONONIJe, baada ya hapo, utakifanya kile ulichokisomea?
Wapo baadhi waliofanikisha hiliYou got a point especially if you have a capital you can start and manage a business with your knowledge and skills to do it especially those business that needs professional one
Nakubaliana na wewe; tatizo linakuja kwenye uchaguzi wa faniMkuu labda unaongelea huko nchi za ulaya lakini hapa Africa itakiwa ngumu, professional zingine zinahitaji mtaji mkubwa ili uweze kuishi kulingana na professional yako mfano mtu amesome mambo ya petrol na gas,
Anawaza akafungua ofisi ya marubani wa kukodi🤣🤣🤣🤣Aliyesomea urubani afungue biashara gani mkuu?