Kufungua biashara

Kufungua biashara

elizan

Member
Joined
Jul 22, 2012
Posts
14
Reaction score
1
nilikuwa nataka kujua process ya kufungua biashara au kampuni na brela.
 
Karibu ofisn kwetu hizo ndo kazi zetu za kila siku zinazotuweka mjini hapa
 
ofisi zanu ziko wapi, na mapatikana vp. je mna namba za simu, email address?
 
Yap tupo Victoria, piga 0715 782844, utapewa maelekezo yote mkuu,
 
Back
Top Bottom